✔Usidharau unapoambiwa kuacha dhambi.
✔ Usidharau unapoambiwa kuokoka.
✔ Usidharau unapoonywa na Neno la MUNGU.
✔ Usidharau unapokemewa na Neno la MUNGU au unapoelekezwa na Neno la MUNGU bali uheshimu muda huo na tubu kwa MUNGU huku ukiiacha kila ubaya ulioambiwa uuache.
Mathayo 3:2 " Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia."
MUNGU akubariki.

No comments:
Post a Comment