Monday, 22 October 2018

Mungu atuhurumie sana.


Ikiwa twajiita tumeokoka na bado twatenda dhambi basi tunahitaji sana rehema za Mungu.
Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu. Hamna lugha nyingine ya kusema lakini huu ndiyr ukweli. Mungu na dhambi havichangamani.
Bwana asema heri kuwa moto au baridi. Ila ukiwa vuguvugu mwenyewe amesema atakutapika. Maanake nini? Mungu hana utani na dhambi mpendwa. Iko ghadhabu ya Mungu dhidi ya dhambi. Mungu hawezi kuchekelea uovu tunaoufanya. Hakika atatuadhibu.
Kila alitajaye jina la Bwana Yesu na auache uovu.
Mwenye masikio na asikie

Image may contain: text

No comments:

Post a Comment

KAZI KUU TANO (5) ZA IMANI KATIKA MAOMBI.

Bwana YESU atukuzwe ndugu zangu. Karibu tujifunze Neno la MUNGU. Uhusiano ni upendo unaozaa ushirikiano na mawasiliano kati ya pande m...