Saturday, 21 July 2018
Unapofundishwa Neno la MUNGU usidharau bali uthamini wakati huo na tengeneza kwa MUNGU.
✔Usidharau unapoambiwa kuacha dhambi.
✔ Usidharau unapoambiwa kuokoka.
✔ Usidharau unapoonywa na Neno la MUNGU.
✔ Usidharau unapokemewa na Neno la MUNGU au unapoelekezwa na Neno la MUNGU bali uheshimu muda huo na tubu kwa MUNGU huku ukiiacha kila ubaya ulioambiwa uuache.
Mathayo 3:2 " Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia."
MUNGU akubariki.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
KAZI KUU TANO (5) ZA IMANI KATIKA MAOMBI.
Bwana YESU atukuzwe ndugu zangu. Karibu tujifunze Neno la MUNGU. Uhusiano ni upendo unaozaa ushirikiano na mawasiliano kati ya pande m...
-
Bwana YESU atukuzwe ndugu zangu. Karibu tujifunze Neno la MUNGU. Uhusiano ni upendo unaozaa ushirikiano na mawasiliano kati ya pande m...
-
Bwana Yesu asifiwe… Imeandikwa ; “ Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake; “Y...
-
HOFU :- Ni kuogopa mambo yaliyopita, yaliyopo au yajayo. Kibiblia : hofu ni kukosa imani! “ mwenye haki wangu ataishi kwa IMANI naye ak...

No comments:
Post a Comment