Wednesday, 10 October 2018

Nimesoma hii na nikaliasana na nikaonaaibu kwa Allah kamasitasambaza kwawenzangu.


Maana ina faida na ajeer
nyingi. Hii hadeeth qudsy
ukisoma
utasikia tumbo likicheza
peke yake
sababu yaonesha vipi
ukubwa wa Allah.
Subhana hu Wataala.
Amesema, "Ya ibn
Adam, nimekuumba kwenye
tumbo la
mama yako. Nilifinika uso
wako ili usiumie
na tumbo. Nikawacha uso
wako ulekee
nyuma ili usisikie harufu ya
chakula
kikiingia ktk tumbo la mama
yako.
Nilikuwekea mito kwa
upande wa kulia
na kushoto, sababu kulia
kuna maini
na kushoto kuna pancreas.
Nilikufundisha kukaa na
kusimama
ukiwa ndani ya tumbo la
mama yako. Kuna
mwingine anaweza kufanya
hivyo?
Ulipokuwa tayari,
nikaamrisha Malaika
wakati wa kutoka tumboni
umefika. Ulizaliwa huna
meno ya kula,
mikono haina nguvu wala
miguu
haiwezi kutafuta chakula.
Nikalainisha
mishipa miwili ya kifua cha
mama yako
ili upate maziwa. Wakati wa
msimu wa
baridi maziwa yako na joto,
na msimu
wa joto yako baridi.
Niliweka mapenzi
kwa wazazi wako kuwa
hawali chakula
mpaka wewe ushibe.
Hawalali mpaka
wewe ulale. Sasa kwavile
umekuwa na una
nguvu ndio unaniasi na
kufanya madhambi?
Huoni haya kwa
unaoyafanya?
Ukiniomba nakupa, ukiniita
naitika,
ukiniomba msamaha
nakusamehe.
Sambaza ujumbe huu hata
kama ni
mtu mmoja. Rasul SAW
amesema
''Munitangazie hata kama ni
ayah
moja''. Ni ajabu gani Ya ibn
Adam,
ukizaliwa waadhiniwa
kwenye masikio,
lakini huswaliwi. Ukifa
utaswaliwa bila
kuadhiniwa.
Ukizaliwa hujuwi nani
alikutoa kutoka kwa tumbo
la mama yako.
Ukifa hujuwi nani atakuweka
kaburini.
Ukizaliwa ulioshwa na
kusafishwa, ukifa
utaoshwa na kusafishwa.
Ukizaliwa
hujuwi nani alikufurahaikia
na ukifa
hujuwi nani atahuzunika na
kulia. Ulipokuwa ktk
tumbo la mama yako
ulikuwa kwenye
dhiki na giza. Ukifa kwenye
kaburi
utakuwa kwenye dhiki na
giza.
Ulipozaliwa ulifinikwa na
kustiriwa na
ukifa utakafiniwa na
kustiriwa. Ukiwa
mkubwa utaulizwa na watu
shahada za
masomo na ujuzi wako.
Ukifa Malaika
watakuuliza amali yako na
ulivyo
jiandaa na Akhera. Sema
kutoka kwa
moyo wako '' Ashhadu an
Lailaha ila
Allah, wa Ashhadu ana
Muhammad
Rasulu Allah ''. Nina hakika
ukisoma
utasambaza kwa unao
wapenda. Soma
surah al Ikhlaas '' Qul huwa
Allahu
Ahaad, Allahu Swamaad,
Lam Ya Leed
wa Lam Yulaad, wa Lam Ya
Qun Lahu
Qufuwan Ahaad ''. Wajuwa
umesoma
thuluthi ya Quraan?
Sambaza uone
watu wangapi watasoma
thuluthi ya
Quraan kwa ajili yako.
Usijikhini kupata
hizi ajeer. Sambaza hata
kama una
shughuli nyingi. Yastahili
kusomwa

No comments:

Post a Comment

KAZI KUU TANO (5) ZA IMANI KATIKA MAOMBI.

Bwana YESU atukuzwe ndugu zangu. Karibu tujifunze Neno la MUNGU. Uhusiano ni upendo unaozaa ushirikiano na mawasiliano kati ya pande m...