ULIMWENGU WA ROHO
Yesu alipokuwa hapa Duniani alifanya mambo mengi na kati ya mambo ambayo ni Ufalme wa Mungu. Alitoa mifano mingi ambayo ilikuwa inajaribu kufafanua maana ya Ufalme wa Mungu.
Mungu aliamua kupanua utawala wake kutoka mbinguni na kuja Duniani. Kimsingi Mungu ni mkoloni haswa, maana anamiliki mbingu na ameifanya Dunia kuwa koloni lake. We are extension of the kingdom of heaven.
Ukifahamu ulimwengu wa roho unakuwa na uwezo wa kushinda katika mwili. Ndio maana mtume Paulo akasema kwenye
Waefeso 6:12 “Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho”.
Waefeso 6:12 “Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho”.
Neno kushindana katika Biblia ya kingereza, limeelezewa katika maana tofauti tofauti kwa mfano; struggle, fight and wrestle. Mungu hajasema kwamba hakuna kushindana, kushindana kupo na kunafanyika katika ulimwengu wa roho.
Hatubebi mapanga ya mwilini, lakini tunashindana kwa silaha za Bwana katika ulimwengu wa roho.
Hatubebi mapanga ya mwilini, lakini tunashindana kwa silaha za Bwana katika ulimwengu wa roho.
Shetani anaweza kumfunga mtu katika ulimwengu wa roho au akamzuia mtu asifanye kitu aklichopanga akifanye. Kwa mfano shetani aliwahi kumzuia Paulo asifike mahali kufanya kazi ya Mungu.
1Wathesalonike 2:18 “Kwahiyo tulitaka kuja kwenu, naam, mimi Paulo, mara ya kwanza, na mara ya pili, na Shetani akatuzuia”.
1Wathesalonike 2:18 “Kwahiyo tulitaka kuja kwenu, naam, mimi Paulo, mara ya kwanza, na mara ya pili, na Shetani akatuzuia”.
Katika siku za mwisho ambazo shetani anajaribu kuhamishia utawala wake katika mwili, hapa kuna uhamsho mkubwa sana kwa watakao kaa vizuri na BWANA. Na ndio maana ndoto niliyonayo juu ya Tanzania ni lazima itimie, niliwahi kuona misikti inageuka kuwa madarasa ya Sunday school za watoto, niliona mashehe na mahimamu wakikimbia mbele ya msalaba wa Yesu Kristo, na sitakufa mpaka ndoto yangu itimie.
Biblia imeongelea mara nyingi kwa habari ya ulimwengu wa roho. Tuangalie baadhi ya maandiko hayo kwenye Biblia.
Waefeso 1:3 “Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa Baraka zote za rohoni, katika ulimwengu war oho, ndani yake Kristo;
Waefeso 1:3 “Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa Baraka zote za rohoni, katika ulimwengu war oho, ndani yake Kristo;
Kimsingi kila kitu unacho, na Mungu amekupa vitu vyote ila ni katika ulimwengu war oho. Unatakiwa kuingia katika ulimwengu war oho na kuchukua kile ulichoahidiwa na Bwana. Uwezo wako wa kuingia katika ulimwengu war oho ndio uwezo wako wa kupata kile Bwana alichokuahidia kukupa.
Waefeso 1:20 “ aliotenda katika Kristo alipomfufua katika wafu, akamweka mkono wake wa kuume katika ulimwengu wa roho’’ Waefeso 2:6 “Akatufufua pamoja naye, akatuketisha pamoja naye katika ulimwengu wa roho, katika Kristo Yesu”.
Unaweza kumwomba Mungu, asikujibu ulichoomba na bado akabaki kuwa Mungu. Mungu kutokujibu ulichomwomba hakubadilishi nafasi yake kama Mungu, anabaki kuwa Mungu japo ulichoomba hujakipata.
Waefeso 3:10 “ili sasa , kwa njia ya kanisa, hekima ya Mungu iliyo ya namna nyingi ijulikane na falme na mamlaka katika ulimwengu war oho”
Mathayo 26:53 “Ama wadhani ya kuwa mimi siwezi kumsihi Baba yangu, naye ataniletea sasa hivi zaidi ya majeshi kumi na mawili ya malaik?
Mathayo 26:53 “Ama wadhani ya kuwa mimi siwezi kumsihi Baba yangu, naye ataniletea sasa hivi zaidi ya majeshi kumi na mawili ya malaik?
2 Wafalme 6:16 “Akamjib, Usiogope; maana walio pamoja nasi ni wengi kuliko walio pamoja nao”
Elisha alikuwa na uwezo wa kuchungulia na kuona majeshi ya malaika walio wazunguka wakiwalinda.
Elisha alikuwa na uwezo wa kuchungulia na kuona majeshi ya malaika walio wazunguka wakiwalinda.
Muungu alipoumba aliumba viumbe wa aina mbili. Amabao ni viumbe wanaoonekana na viumbe wasiionekana. Viumbe wanaoonekana wanakaa katika ulimwengu huu wa kuonekana.
Viumbe wasiionekana nao wamegawanyina katika makundi mawili. Wapo wasioonekana kwasababu ya umbo lao ni dogo sana mpaka utumie lensi au magnifier. Lakini wapo wasioonekana kwasababu ya asili zao ni za kutokuonekana na hawa ndio wanaokaa katika ulimwengu wa roho. Mfano wake ni kama Mungu, malaika, shetani, mapepo n.k.
Katika ulimwengu war oho kna viumbe kabisa ila wa rohoni. Na kila unachokiona ni roho. Yesu alienda kutuandakia mahali pa kukaa na mahali hapo ni pa rohoni. Umbali ktoka uliweng wa roho kuja ulimwengu wa mwili ni zero distance.
Ndio maana malaika waliwahi kugeuka watu kabisa wakamtembelea Ibrahimu. Akawaona ni watu, wakasubiri kondoo achinjwe, akapikwa, na mikate wakala na wakamnenea Sara mkewe Ibrahimu kwamba atapata mtoto katika uzee wake. Walikuwa sio watu ila walikula, sio kila anayekula ni mtu, anaweza kula na bado asiwe mtu.
Malaika hawa walifika kwa Lutu wakiwa na vumbi miguuni, wakanawa na miguu na sio watu. Wakaonekana kwa watu wa Sodoma na Gomora kwamba wanafaa kuchumbiwa (…..we want to have sex with them). Unaweza kuchumbia au kuchumbiwa na siye mtu, mkaoana na mkazaa katoto ni kanusu mtu, ukikasomesha akaelewi chochote, kanasumba kwelikweli.
Pepo aliwahi kutokea na kusema atakwenda na kuufanyika nabii wa uongo kwenye vinywa wa manabii wa Ahabu ili wamdanganye akwee Ramoth Gileadi akafe huko. Kumbe pepo anaweza kuingia ndani ya mtu, akafanyikja kuwa kansa, kupooza, utasa n.k.
Yoshua 5:13-14“ Ikawa Yoshua alipokuwa karibu na mji wa Yeriko, akavua macho yake na kuangalia, na tazama, mtu mume akasimama kumkabili mbele yake, naye alikuwa na panga wazi mkononi mwake;………..nili amiri wa jeshi la BWANA……..”
Mungu aliama kuvaa umbo la mwanadamu kuja kpigana na wasio watu wa Yeriko. Katika siku za mwisho vita haitakuwa tena katika ulimwengu war oho. Shetani anajua kabisa kwamba hata mtoto mdogo akisema tu kwa Jina la Yesu, anamtoa shetani katika ulimwengu war oho.
Hapo Shetani anaamua kuvaa mwili, hili alindwe na sheria ya ulimwengu huu. Ukimkemea unachkliwa sheria na anafanya hivi hili aweze kuitwala Dunia kwa urahisi, lakini MUNGU naye ameamua kuvaa mwili na vita hii ipiganwe katika ulimwengu huu.
Biblia inamfahamu Shetani kama Mungu wa Dunia hii. Na ana wajumbe wake hapa Duniani. Kama unapenda kuolewa na handsome boy, utatengenezewa unayemtaka point five ktoka kuzimu. You are fighting against devil in human form. Satan is tyring to establish his empire here on the Earth by first having Luciferic DNA in people.
Mungu akaagiza Mfalme Sauli kchinja Waamaleki wote, maana aliwaona katika ulimwengu war oho wana DNA ya kuzimu, ukiwakamata hawa dawa yao ni kuwafyeka wote kwa jina la Yesu.
Mathayo 2:1-2 “Yesu ali[pozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi zamani za Mfalme Herode, tazama, mamajuzi wa mashariki…………..’’
Biblia imewaita magician. Hawa walikuwa ni wachawi, wanajimu ambao waliiona nyota ya Yesu kabla hajazaliwa, wakaanza kusafiri na wakafika Uyahudi wakati ndio Yesu amezaliwa. Kabla yaw ewe kuzaliwa, wachawi wanaweza kuona utakuwa nani, na wakakufunga usifikie hatima yako.
Biblia imewaita magician. Hawa walikuwa ni wachawi, wanajimu ambao waliiona nyota ya Yesu kabla hajazaliwa, wakaanza kusafiri na wakafika Uyahudi wakati ndio Yesu amezaliwa. Kabla yaw ewe kuzaliwa, wachawi wanaweza kuona utakuwa nani, na wakakufunga usifikie hatima yako.
No comments:
Post a Comment