Saturday, 21 July 2018

Unapofundishwa Neno la MUNGU usidharau bali uthamini wakati huo na tengeneza kwa MUNGU.



✔Usidharau unapoambiwa kuacha dhambi.

✔ Usidharau unapoambiwa kuokoka.

✔ Usidharau unapoonywa na Neno la MUNGU.

✔ Usidharau unapokemewa na Neno la MUNGU au unapoelekezwa na Neno la MUNGU bali uheshimu muda huo na tubu kwa MUNGU huku ukiiacha kila ubaya ulioambiwa uuache.

Mathayo 3:2 " Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia."

MUNGU akubariki.

No comments:

Post a Comment

KAZI KUU TANO (5) ZA IMANI KATIKA MAOMBI.

Bwana YESU atukuzwe ndugu zangu. Karibu tujifunze Neno la MUNGU. Uhusiano ni upendo unaozaa ushirikiano na mawasiliano kati ya pande m...